ocr: Bonyeza kifungo chekundu kidogo usikilize kwa makini. Bonyeza neno au sehemu ya mwili usikilize tena, Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi Bonyeza kifungo chekundu na useme sawasawa. Bonyeza "kipanya' ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.